Naanza na hawa.. AYOUB RICKROSS.. Wewe kaz daily unadownload - TopicsExpress



          

Naanza na hawa.. AYOUB RICKROSS.. Wewe kaz daily unadownload mapicha yakina rickros jayz kanyewest adi unaboa!manake daily afu watu wenyewe ata hawakujuw fanya yako ushamba huo.afu unakatabia kengine haulike statuc yamtu..mpaka uone ye kalike ndo apo apo nawewe unaenda kulipiza kulike kwake.tabia zakike izo. Mwengine ni CABLE FALLY PAIN uyu bwana misifa anapenda kujipa misifa wakati hana lolote..huyu kunasiku inbox alithema ye mtangazaj wa EATV duh nkamwambia mbona cjakuonaga?akajidai kipind chake kinaandaliwa.teh afu akajidai alikua mtangazaj DTV kumbe yote ni kamba tena zakufungia mbuzi afu uyu kaeka mapicha ye nadem wake wapo kitandan wameshkana!duh yan ni umbulula haipendez ni kinyume namaadil kwakijana mdogo kamawewe afu ata uyo dem wako kama kakubali kueka picha kama iyo ujue hajatulia.mwanamke awe na aibu banah ni hayo
Posted on: Wed, 14 Aug 2013 10:34:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015