Naendelea kutanguliza samahani kwa wanadamu wenzengu kama - TopicsExpress



          

Naendelea kutanguliza samahani kwa wanadamu wenzengu kama ntaendelea kuwakwaza leo nahamia upande wakina kaka... Utamkuta kijana mwenzangu amevaa vzuri amependeza ila sasa wanachonikera mimi unakuta mvulana kavaa mlegezo na bado boxer lenyewe lna cku 3 halijafuliwa chafu kwenye pindo halafu kanyoa kduku na ukikaa nae jirani anatoa harufu kama beberu alievunja zizi na kukimbilia malishoni masela tubadilike jaman hii aibu yetu sote hatakama ni digtali yakwenu imezidi naomba kuwasilisha ...
Posted on: Wed, 06 Nov 2013 12:45:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015