Naomba nijibiwe kwa swali langu hili hapa: - Washabiki / Wapenzi - TopicsExpress



          

Naomba nijibiwe kwa swali langu hili hapa: - Washabiki / Wapenzi wa Man United na Arsenal (The Gunners/Emmirates) wapi wenye maneno machafu na wanaochonga sana?, maana Wapenzi wa M. U. upenda kuangalia Kilaka cha mwenzao wakati wao wanavilaka kibao hapa nina maana kwamba Nyani halioni Kundule bali uona yawenzake. Mashabiki na Wapenzi wa Man United kueni makini na maneno yenu machafu maana Magereza yamewekwa kwa wale wanaovunja Sheria Mfano huku ninapoishi kuna Mpenzi wa Man United amemshambulia kwa maneno machafu Mpenzi wa Arsenal, Mpenzi wa Arsenal alichofanya kaenda kutoa taarifa Kituo cha Polisi baada ya hapo Mpenzi wa Man United akafuatwa kuchukuliwa na kuwekwa ndani Polisi. hili janga litaendelea wiki ijayo. Kuweni na Stara Wapenzi wa Man United. Arsenal Oyeeeeeeeeeeeeee
Posted on: Sat, 23 Nov 2013 05:16:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015