Natumai hamjambo mashabiki, vipi huko mliko, nini cha mno huko - TopicsExpress



          

Natumai hamjambo mashabiki, vipi huko mliko, nini cha mno huko uliko ambacho unadhani kitaweza kugonga vichwa vya habari? Hamjambo wana Bongo au Dar, Kigali vipi, wana Kampala MGAMBAKYI! Kinshasa, wajanja wa Nairobi ,Mombasa, Arusha na kwingineko ambako matangazo ya idhaa ya kiswahili yanafika..........Leo basi naomba tupashane habari au sio na naomba pia nikutakie siku njema huku sote tukisaka riziki!
Posted on: Wed, 04 Sep 2013 08:52:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015