Ni furahidei na usiku mwingine tena tunakutana ndani ya mjengo na - TopicsExpress



          

Ni furahidei na usiku mwingine tena tunakutana ndani ya mjengo na ikiwa ni wakati wa kusikiza show TOP MASHARIKI ambapo nitakuzungusha AFRIKA MASHARIKI Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda,Burundi na S.kusini.Na kama kawa leo nimemualika msanii JUA CALI kutoka Calif records amabaye ni msanii anayetimiza miaka 15 ndani ya game ya mziki.pata kujua mengi kumuhusu na ni jambo gani hasa limemleta usiku huu studioni.Yaa!!!!!!... jua pia zaidi kuhusu taarifa za burudani huku nikikudondoshea muziki mpya kutoka kwa wasanii mbalimbali na hasa kwa wale wanaoinukia.Tegea Radio Taifa-Sauti ya mkenya 92.9fm.Mtetezi ndio mimi.hapa ndipo tunapo kamua.
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 19:35:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015