Ni hiari yako kuwafikishia wengine wala Sio lazima! Leo we una - TopicsExpress



          

Ni hiari yako kuwafikishia wengine wala Sio lazima! Leo we una nguvu na wakati wakufanya mema lakin hutaki, ila kumbuka DUNIA kama chumba cha mtihan atakaye fanya vizuri ndiye atakayefaulu We unadhani umeumbwa ili ufanye utakacho? hapana; umeumbwa kwa ajili ya IBADA. ila km uamin shauri yako na maisha yako Ila zingatia haya yule mzee unaemuona, nae alikuwa kijana kama wewe, na yule mgonjwa umuonae alikuwa na afya km wewe, na yule mait nae alikuwa hai km wewe Ila kwa kuwa DUNIA ni njia na ni kipimo kwa mwanadamu, basi njia hizi nawe utapitia utake usitake @Ni ukumbusho kwa wanao amin maisha ya akhera@
Posted on: Thu, 12 Sep 2013 04:03:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015