Ni swali gani mtu ashaikuuliza ukaskia umeudhika yako yote? Mi - TopicsExpress



          

Ni swali gani mtu ashaikuuliza ukaskia umeudhika yako yote? Mi nlienda sleepover kwa beshte yangu nkiwa ryma.walikua wamepika chapo bt juu nlikua na unenge,nkakula mbili teke teke.unaskia venye uyo beshte yangu nugu aliniuliza mbele ya familia yao mzima?ati kwani hujawahi ona chapo?imagine wote walianguka chini wakinicheka nkt ata sikulala,baadae usiku nlijifanya nko msick wakanipeleka home.ubeshte yangu na uyo boy ilififia since dat day.sku izi ata 2kimeet,salamu 2 na najipea shughuli
Posted on: Thu, 25 Jul 2013 11:11:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015