Njia sita za kujipatia thawabu hata baada ya kufa: 1) shiriki - TopicsExpress



          

Njia sita za kujipatia thawabu hata baada ya kufa: 1) shiriki katika ujenzi wa msikiti...waislamu wanaswali na wewe unapata thawabu. 2) toa kiti cha wagonjwa na walemavu (wheelchair) hospitalini.....wagonjwa wanakitumia na wewe unapata thawabu. 3) mpe mtu msahafu....yeye anasomea na wewe unapata thawabu pia. 4) toa mfereji wa maji katika sehemu za watu....watu wanatumia na wewe utapata thawabu. 5) panda mti....watu na wanyama wanautumia kama chakula n kivuli na wewe utapata thawabu. 6) na njia rahisi yao ni kuisambaza msg hii...watu watafanya na wewe utapata thawabu.
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 00:23:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015