SASA JAMENI KWANI NILIKOSEA NINI?? Leo kuna dem hapa kitengela - TopicsExpress



          

SASA JAMENI KWANI NILIKOSEA NINI?? Leo kuna dem hapa kitengela ame update hapa facebookNJAA NAYO,NANI ATANITOA LUNCH?? Sasa kwa vile mimi hukuwa roho safi nika inbox huyo dem nikamshow tumit nimbuyie lunch na akakubali!!! Sasa kufika mahali tulipanga tumit nakuta DEM amekamu na beshte wake watatu dah nikasema hamna noma!! Nikabuy ugali Kuku tukakula tukamaliza wakadai niwapeleke kwao,tukaenda mpaka kwa room fulani wakasema hapo ndio kwao!! Then wakatoa juice wakanipea alafu wakaanza story zao!!! Imagine nililala hata nimeamka sahii nakuta nimebaki na Boxer na Vest pekee yaani wameiba kila kitu,wallet yangu ilikua na pesa zangu na I.D,Passport na Driving licence zote wamebeba nkt!!! KWANI NILIKOSEA NANI??? :( Admin G.M.B
Posted on: Fri, 15 Nov 2013 17:11:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015