SIMBA&YANGA wakati wa kubadilika na kujifunza/kufuta makosa ya - TopicsExpress



          

SIMBA&YANGA wakati wa kubadilika na kujifunza/kufuta makosa ya nyuma ni sasa. NinaMudaNilikuaSijaonaLiveVilabuHiviViwiliVikubwaHapaNchiniKtkt mpambano wa soka.LeoNimengaliaPambano la Simba na KageraSugar;Ukweli nimesikitikaKiwangoKilichoonyeshwaNaWekunduHawaWaMsimbazi!KwaUfupi ile SimbaNilioiona 2/3Years back Ya Akina Kaseja,Marehemu Mafisango,Boban,Okwi,KapombeNa wengineo sii hii ya leo November 2013,Pamoja na mipango iliopo lkn ni kama club hizi zinarudi nyuma badala ya kusonga mbele!hebu kumbuka simba ilocheza final kombe la stellamiaka hiyo linganisha na simba ya leo utakubaliana nami ktk hilo.Kwa Kikosi cha Yanga naweza sema angalau kina nafuu level ya timu na combination ya usajili inaiweka ktk normal standard kwamba ina ma pro wa ndani na wa nje pia wamo wakongwe na damu changa kiasi angalau itawasogeza lkn nna wasiwasi sana na simba vijana wengi hawajulikani wadogo na level yao na experience ni kama ndogo pia!viongozi waliangalie hili Leo Kagera wamecheza kitimu hasa walielewana!Napenda sana niwapongeze Azam hawa wanaonyesha njia na mfano mzuri wa karibu club inapaswa iwe vipi.bila kwenda na standard hatuendi,club zetu zikienda mbele mpira wa tz utaenda mbele!lakini sasa Ushabiki unakua mkubwa mpaka unazifunika timu!viongozi wanachanganyikiwa inakua mgogoro baada ya mgogoro!miaka inaisha timu hata uwanja wa mazoezi haina!timu imeanza toka 1943 huko!timu ingine nayo kigorofa2 na uwanja wa vumbi miaka nenda rudi yaani ndio mwisho!kweli kuna mengi mengi ya kubadilika na kujifunza!
Posted on: Thu, 31 Oct 2013 23:31:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015