STORI --> DOKTA MUONJA ASALI sehemu ya 3 MTUNZI - TopicsExpress



          

STORI --> DOKTA MUONJA ASALI sehemu ya 3 MTUNZI -->#Daskamala_Tukunyema **ILIPOISHIA** >>>Cecy akarudi kwa dokta fasta fasta na kutaka kuendelea na mikito maana tayari alikuwa hoi na kazidiwa kabisa.. Dokta akamlaza kwenye kakitanda kadogo ka mle maabara na akaanza kuzifungua zipu za suruali yake huku Cecy akiendelea kuhema juu juu kimahaba kwani dokta alikuwa akimtomasa maziwa kwa mkono mmoja... Cecy aibu ikamtoka kabisa na akaingiza mkono wake wa kushoto ndani ya Boxer ya Dokta na akawa anaushikashika Mguu Wa Tatu wa Dokta mpaka dokta naye akawa hoi... ile Cecy anautoa Mguu wa Tatu wa Dokta ndani ya Boxer ili waanze mambo Ghafla mlango wa maabara Ukagongwa kwa nguvu..... **ENDELEA** >>>Daah.. uhondo wote na hamu ya kuendelea kupeana maraha ilikata hapo hapo na wote wakawa wanahangaika kuvaa fasta fasta wakiwa wamejawa hofu... Dokta alikuwa wa kwanza kumaliza kuvaa so akaenda mlangoni na alipofungua tu mlango alikuta ni nesi Antia Fidelis Byb aliyekuja kumuita Dokta kuwa kuna mgonjwa ameletwa pale anaitwa Upendo Abel yuko katika hali mbaya sana amezidiwa kwahiyo dokta Steve Mbwana Jr. alikuwa anahitajika haraka sana.. akamuaga Cecy Exavery Kalolo kwa kiss la shavuni huku ceccy akiwa bado ana hamu ya kuendeklea kupata mahaba..... >>>Akiwa njiani kurudi nyumbani Cecy alikuwa aklimuwaza dokta muda wote akamtumia msg ya kumsifia kuwa anajua sana mahaba na ni mjuzi wa mambo kwahiyo akataka wapange siku ya kukutana ili wapeane mahaba motomoto... Dokta akanipigia simu (dokta) "oi Tukunyema, yule mrembo keshatiki na hapa nimempiga romance kali mpaka amedata" nikamwambia awe makini sana asikamatwe na Loy Staminer kwani huyu jamaa akijua kuwa mchumba wake anatoka na jamaa mwingine anaweza hata kumpiga risasi... dokta akanambia nisiwaze ataweza kuyaHandle mambo then akanambia WeekEnd ni lazima anitoe out kwa kazi niloifanya nami nikafurahi sana kwani nilikuwa nina siku nyingi sana bila kutoka out... >>>Basi siku zikasepa fasta sana na weekend ikafika, Dokta akanipigia simu na kunambia amekula mema ya nchi na cecy kwa siku tano mfululizo ambazo cecy alikuwa anaenda hospitali na tayari amefanikiwa kumteka kimahaba kabisa then akanambia tuonane mitaa ya Break Point karibia na BILLCANAS ... nikajitupia vipamba vyangu then nikampigia simu mshikaji wangu De Fiqx Kido Lier ili aniescort mpaka paler break point.... Basi mie na mshikaji wangu tukaendas mpaka Break point tukamkuta dokta tukasalimiana then akatuambia tuagize vinywaji na vyakula tunavyotaka nasi bila aibu tukachakaza meza... >>>Wakati tunaendelea kupiga misosi na mavinywaji pale Break point Simu ya Dokta iliita na alipopokea ilikuwa ni Cecy.... (cecy) "Baby uko wapi saizi?"... (dokta) "niko hapa break point".... (cecy) "jamani bby njoo huku kwangu maana huyu Loy katoka, amesafiri mchana kapelekwa Nairobi na marafiki zake akina Supermweuc Luckiest, Äkõç Ðëmãrlëýz Xôñ na Salvado Sorenza wameenda kutembelea biashara zao"... (dokta) "ebwana eeh nakuja sasa hivi mie wala sichelewi baby maana nim,emiss utamu jamani nakuja unipe Utamu"... (cecy) "ok sweety usichelewe maana nina hamu sasna na wewe".... Walipomkaliza mazungumzo kwenye simu dokta akanambia kapata dharura anaitwa na cecy so akanambia mie nibaki pale Break point nikienjoy na mshikaji wangu... AKAINGIZA mkono mfukoni akaniachia Laki Mbili halafu akaondoka zake.... >>> Daah kwangui ile pesa ilikuwa nyingi sana so ikabidi nimpigie simu dereva taxi nilomzoea anaitwa Shadrack Ndimbo ili aje atuchukue pale na kutupeleka sinza tukale bata... Tukiwa njiani kuelekea sinza Loy alinipigia simu nikapokea... (loy) "oi niaje Tukunyema... mwanangu sorry sana nilishindwa kukuaga kuwa ninaenda Nairobi kuangalia BNiashara za marafiki zangu ila Kuna tatizo limetokea kamanda wangu"...nikamuuliza ni tatizo gani tena?? akajibu... "kuna rafiki yetu mmoja (salvado) kapata dharura, mtoto wake kapata ajali ya BodaBoda so imebidi tuahirishe safari..".. (das) "so now uko wapi kaka"... (loy) "niko njiani narudi nyumbani Walau nikamkiss bby wangu Cecy maana tayari nlikuwa nishaanza kumMiss"... wakati huo huo Huku nyumbani kwa loy Dokta alikuwa keshafika naamekaribishwa ndani flesh, katengewa msosi wa nguvu mezani anakula then akimaliza waende kupeana penzi.... **ITAENDELEA BAADA YA LIKE 100**
Posted on: Wed, 21 Aug 2013 08:03:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015