TAFRIJA “Lakini walio wa kwanza watakuwa wa mwisho,na walio wa - TopicsExpress



          

TAFRIJA “Lakini walio wa kwanza watakuwa wa mwisho,na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza”….Yesu Kristu anamaanisha nini kupitia kwa maneno hayo? Tushirikiane kutangaza Injili ya leo kutoka MATHAYO 19:23-30 . . ….Nimekusabahi ndugu yangu Jumanne ya leo.Hujambo na tumsifu Yesu Kristu! Huyu ni Mc Judy mwenyewe,tayari kuandamana nawe katika safari yetu ndani ya Chariot ya Tafrija za Kheri njema.Mzigo tukumbuke ni kwa dereva Yesu, kisha kwa furaha tukalie viti vyetu tusonge mbele! …….Kiitikio cha Zaburi:Bwana atawaambia watu wake amani. Leo katika Msosi wa wiki na Chef Daniel tunatayarisha “Matumbo” Katika orodha ya 21 Zilizovuma wiki hii,usichoke kuupendekeza wimbo wako. Hayaaaaaaa…changamka na kumchangamsha ndugu zako!
Posted on: Tue, 20 Aug 2013 07:53:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015