TANZANIA TOP 5 PUBLIC FIGURES THAT I LIKE MOST. 1) MILLARD AYO- - TopicsExpress



          

TANZANIA TOP 5 PUBLIC FIGURES THAT I LIKE MOST. 1) MILLARD AYO- RADIO AND TV PRESENTER,Anafanya kazi kwa Bidii sana,anjituma,anajali kazi yake,ni creative,Hana hasira Pia ana UPENDO SANA KWA WATU. 2) JOHN MNYIKA (MP)- Mwasiasa anayejituma sana,Haogopi,hakatishwi tamaa pale anapotekeleza Majukumu yake,Ana nidhamu ya hali ya juu ya Kisiasa,mkweli,Muwazi. 3) JUMA KASEJA- Mchezaji wa Mpira Mwenye Nidhamu hana Makuu,anafanya kazi yake kwa Utadi wa Hali ya JUU. 4) TUNDU LISSU-Mwanasheria,Mwanasiasa anayefanya kazi kwa Bidii,Muwazi,mkweki na Muwajibikaji. 5) ROMA MKATOLIKI - Mwanamziki wa HIP -HOP, Anaefanya kazi yake kwa Bidii,Uwazi, na Bila kuogopa,kazi yake inagusa Maisha ya Jamii,na ni creative.
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 00:13:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015