VIONGOZI WA AFRICA WANAVYOUA NCHI ZAO KWA UMASIKINI 1. Mfalme - TopicsExpress



          

VIONGOZI WA AFRICA WANAVYOUA NCHI ZAO KWA UMASIKINI 1. Mfalme Mswati-Swaziland a. Amenunua gari la kifahari kwa dola za Kimarekani 500,000 , sawa na Paundi za Uingereza260,000. b. Alisherekea Bithedei yake kwa Euro 600,000 c. Kila mwaka huo Bikra kwa sherehe za dola 5 za kimarekani (ana wake 13) d. Utajiri wake ni Dola za Kimarekani 200 Million 2. Omari Ali Bashr-Sudan a. Utajiri wake (fedha alizohifadhi /ficha nje ya nchi ni dola za Kimarekani Bilioni 9 3. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Rais wa Equatorial Guinea a. Utajiri wake na motto wake, ambaye ni waziri wa misitu na maliasili ni zaidi ya bilioni 12 b. Matumizi ya mtoto wake aitwae Teodorin: i. Alinunua jumba la dola za kimarekani 20 milioni huko Yves Saint Laurent ii. Alinunua jumba huko Carlifonia la dola milioni 30 iii. Alitumia dola $1.5 million kustarehe huko South Africa kwa siku 2 tu iv. Ana ndege yenye dhamani ya dola milioni 35 (A Gulfstream V Jet). v. Anajiandaa kujenga nyumba yenye thamani ya dolla 380 milioni.
Posted on: Wed, 18 Sep 2013 06:46:37 +0000

Trending Topics



div class="sttext" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> Hiding from the rain and snow tryn to forget but i wont let go
Circuit CFH-300 Snail Type Horns for your MCs P800 only
Vendo Caja con varios discos de anime, con las sig

Recently Viewed Topics




© 2015