WANYAMA WA KENYA WAPIGA GUMZO.... DOG: Sasa pussy? CAT: Poa sana - TopicsExpress



          

WANYAMA WA KENYA WAPIGA GUMZO.... DOG: Sasa pussy? CAT: Poa sana doggy! Ni aje jo! DOG: Habari ya madayz? Ku-lost nayo! CAT: Whoa! Hata usitaje! Huskii niliingia ndani ya mtungi juzi? DOG: LOl! Sasa wewe ni wapi huko uliingia? Guess mimi niliingia wapi...? CAT: Pwahahaaa *slaps paw* yenyewe wewe nawe ni mnoma aki! Unawezaje chukua wasupa wa wenyewe? DOG: Si kupenda aki pussy, wao ndio walijipa! CAT: Hahaha! Hiyo kweli. Ni kama ndrama, ni kama vindio (meeeeow). Si uniunganishie mmoja tusaidiane? DOG: Wewe sema tu ivo na nko wanted na sirikali! NGURUWE: lmfao! Sisi hata tushaingia Parliament wazito! Raha nayo! Hata kuna face painting...! COW:Ooooh..ata hamjui,Kiambu ni nduru tupu, ata i think hii bol ni ya huyo jamaa.
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 16:42:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015