Who hate Lowassa to be a presedent of Tz 2015? SEHEM YA - TopicsExpress



          

Who hate Lowassa to be a presedent of Tz 2015? SEHEM YA NNE Lowassa aliamua kujihuzuru ili kuinusuru serikar ambayo nayo ilikua inahusika ktka sakata hilo la Richmond, coz wazir mkuu hawez kusain mkataba wowote bila ya Rais kuujua, so kwa maneno mengine ni kwamba na Rais alikua anafahamu mambo yote! lkn Lowassa akawa kama chambo,make Rais angelazimika kujiuzuru! kama Lowassa alikua mwizi mbona anaitwa waziri mkuu msitaafu? kama Lowassa ni mwz mbona hajapelekwa mahakaman? Itaendelea.....
Posted on: Thu, 31 Oct 2013 15:26:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015