Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, - TopicsExpress



          

Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013 - Wadai CHADEMA haijaanza kufanya maamuzi magumu leo, ilishafanya hivyo kwa Dr Walid Kaburu na kwa Chacha Wangwe na mara zote vyombo vya habari vimekuwa vinaandika kuwa CHADEMA yapasuka, mara CHADEMA inakufa lakini kipindi chote haijawahi kufa wala kupasuka, na hata kwenye hili haitakufa kama ikitokea kamati ikiwafukuza Zitto na Dr. Kitila Fuatilia zaidi => bit.ly/18l9LjQ
Posted on: Tue, 26 Nov 2013 11:41:02 +0000

Trending Topics



tbody" style="min-height:30px;">
Lions One Step Closer to Goal with Win Versus Westmont Womens
Stadtfest Voitsberg 2013 Wir verwandeln unser Gelände wieder
x;">
Swapping W500 Titan & Blackberry 9220 (AS PACK ONLY) W500 Titan

Recently Viewed Topics




© 2015