copy and pest Anko J Kitime Kutokana na matumizi makubwa ya - TopicsExpress



          

copy and pest Anko J Kitime Kutokana na matumizi makubwa ya Facebook tayari kumeanza kupatikana magonjwa ambayo yanatokana na hii kitu, katika semina niliyohudhuria jana niliweza kufahamishwa baadhi ya magonjwa mapya kabisa yafuatayo; 1.LIKOSIS. Huu ni ugonjwa ambao mgonjwa huwa ana ‘like’ kila status na picha yoyote atakayoiona mbele yake. Ugonjwa huu huwapata hasa wale ambao ndio kwanza wanaanza kutumia FB 2.LIKOPHOBIA Huu ni ugonjwa wa kutoku ‘like’ kitu chochote, ugonjwa huu wanao sana masupastaa wa bongo, maana huwa na tatizo la kisaikolojia kuwa waki’like’ watashuka hadhi na kuwa watu wa kawaida 3.AIBUMIASIS Huu ni ugonjwa wa kuionea aibu FB. Mtumiaji huingia FB labda mara moja kwa mwezi halafu anaona aibu kuingia tena mpaka mwezi unaofuata. 4. TAG SYNDROME Ni ugonjwa ambao mwana FB anataka umtag kila picha anayoiona hata isiyomuhusu 5. HATE SYNDROME Huu ni ule ugonjwa wa mwana FB ambapo yeye huweka status za ‘hate’ tu. I hate life. I hate haters, I hate Dar, I hate CCM, I hate CDM 6. REQUEST SYNDROME Hapa ni ule ugonjwa wa mwana FB kurequest marafiki bila hata kuwa anawajua anataka tu aonekane anao wengi. 7. COMMENTOLARIA Mwenye ugonjwa huu, hu comment kwenye kila status itakayotokea mbele yake, yanayomhusu na yasiyomhusu, mradi ka comment 8.MBULULATOSIS Mwenye ugonjwa huu hucomment utumbo tu kila mara, status na mazungumzo yanaweza kuwa ni ya kuhusu ujio wa Obama, yeye ataweka tangazo la duka lake la simu, au ataulizia Kofi Olomide ana umri gani 9. ADICTOMIOLOGY Mgonjwa anaweza kuhisi kufa kama katimiza masaa 24 bila kuingia FB JE UMEKUTA UGONJWA WAKO? NITAARIFU TUKUPE DAWA BEI SI KUBWA NI NDOGO TU
Posted on: Fri, 02 Aug 2013 23:14:01 +0000

Trending Topics



government : Housing its
Back in December when my car was getting the transmission repaired
**STELLAR BEHAVIOR RATING** ★ POLO ★ A1022319 One word that
I am having a Yard Sale Friday, Aug.23 ( 9 - ? ) Sat. Aug. 24 ( 9
Black Friday Sale on Musical Mobile for Fire Truck Baby Bedding
Conheça a história de São Luis Beltran Primeira Leitura (Jn
The fox is not bad for raiding the hen house. In doings so the

Recently Viewed Topics




© 2015