give light n the rest wil follow am certain that sensitization n - TopicsExpress



          

give light n the rest wil follow am certain that sensitization n information is the key of unlocking the shackles that we in...Am not asking 4 a go slow bt am shairing my insight with u coz i blv we r both suffering frm the same malady...some guys here rebuke the Admin yet kazi ya admin ni kutufungua macho na kutaraji tutaona na kutumika kama chombo cha kuelimisha wenzetu ambao hawana habari...kumbukeni c makosa kamwe kwa mfanyakazi kuuliza nyongeza ya mshahara...wengi wanauliza kwa nini kupitia kwenye mtandao huu ilihali kisheria kuna njia mwafaka!Njia hio mwafaka iko kimatamshi lakini sote twajua kiutenda kazi hayana makali...tafadhalini mnapo ongezea maono yenyu yasiwe ya kumkejeli admin bali iwe ya kumrekebisha ama ya kuongezea kwa kazi nzuri anayo ifanya..
Posted on: Sat, 06 Jul 2013 06:56:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015