hi admin kwa jina naitwa juliet mimi ni bint mwenye miaka 22 ni - TopicsExpress



          

hi admin kwa jina naitwa juliet mimi ni bint mwenye miaka 22 ni mwanafunzi wa chuo kimoja kilichopo dodoma , Kwa bahati mbaya niliambukizwa ugonjwa wa ukimwi nikaapa lazima nilipize kisasi kwani aliyenimbukiza ni mchumba wangu 2liyeachana, mpaka sasa nimetembea na wavulana zaid ya mia nje ya chuo nimepanga kuambukiza kwa kadri ya uwezo wangu mpaka wafike mia5...inaniuma sana nahisi nimeathirika kisaikolojia..naomba mnishauri niendele au nifanyaje ili kutoa mawazo ya uuaji niliyonayo? Naombeni ushauri wenu wapendwa
Posted on: Sun, 01 Sep 2013 04:53:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015