wanachuo watarajiwa inawahusu Ndugu...kuna makampuni ili kuingia - TopicsExpress



          

wanachuo watarajiwa inawahusu Ndugu...kuna makampuni ili kuingia wanaangalia vyuo.petence comes baada ya kupata chance ya kuingia na kuprove that you are competent..kwa mfano..hata uwe kompitent kiasi gani mwenzako alosoma Havard na wewe ulosoma Mzumbe aud UDSM mkiweka magamba lazima upigwe chini.. I have worked with people from Havard,oxford na vyuo vingine duniani hawajatuzidi zaidi ya kiingereza na exposure kwa mbaaali..kinacho wabeba wenzetu ni magamba..so if you think gamba halisaidii try and soma Zoom Politeki au hivyo vyuo vingine vidogo vidogo ul see And mungu anisamehe..kuna vyuo watu huwa wanaenda just kwa sababu wamekosa Udsm na Mzumbe..if you have a chance ya kwenda Mzumbe or Udsm just goooo and dont even think twice...
Posted on: Sat, 22 Jun 2013 21:41:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015