'Salamu za pole na rambi rambi ziwafikie wafiwa wote but zaidi - TopicsExpress



          

'Salamu za pole na rambi rambi ziwafikie wafiwa wote but zaidi kwa msanii mwenzangu Barnaba Elias kwa kupotelewa na mama yake mzazi siku ya Jumamosi .... Pole sana ndugu sote ni wasafiri na duniani tupo kwenye safari mbele yake nyuma yetu mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya mama yetu Mariamu Arubeth mahala pema peponi.AMINA'Nipo mbali kwa sasa,nipo comoro kweye tour lakini familia yangu itajumuhika nawenana familia yenu kwa hali na mali kwemye kipindi hiki...............
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 19:40:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015