1. Mwanamke ni kuBEAT, Kuiva achia maembe 2. Mwanaume ni - TopicsExpress



          

1. Mwanamke ni kuBEAT, Kuiva achia maembe 2. Mwanaume ni kutembea vizuri, bouncing wachia cheques 3. Mwanaume ni kumwaga ndani...* Ku withdraw achia Mpesa 4. Mwanamke ni kugold dig, unidependence ni ya IEBC 5. Mwanamke ni kuachilia k**a, kukaza achia mechanic 6. Mwanaume ni FINANCE mwanamke ni FINE ASS 7. Mwanamke ni tangeable assets, sura tutazima taa. 8. Mwanamke ni kutoboa shimo moja kwa maskio, shimo mingi wachia kichungi 9. Mwanamke ni colour moja colour mingi wachia crown na basco paints 10. Nyama kwa nyama*, cd achia Dj 11. Mwanaume ni BEER, spirits wachia waganga 12. Mwanamke ni CLASS, down-to- earth achia vumbi 13. Mwanamke ni kuvaa high heels, flats achia landlord 14. Mwanamke ni sura, internal beauty achia minyoo. 15. Mwanaume ni mabeshte, kuwa lonely achia Joshua Sang 16. Mwanamke ni kuitwa mama watoto,,,,,,honey achia nyuki 17. Mwanamke ni kuNona, kukonda achia vijiti 18. Mwanamke ni figure, standard achia gazeti na Kebs 19. Mwanaume ni Sura, Height wachia giraffe! 20. mwanaume ni kucheza away game, derby achia gor na afc
Posted on: Tue, 22 Oct 2013 15:44:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015