10,000 kwa mfuko wako then unapokea simu very agently from ur - TopicsExpress



          

10,000 kwa mfuko wako then unapokea simu very agently from ur mother ameshikwa na kanjoo kwa biashara yake na tayari anapelekwa kortini. then wife wako ana mimba usiku hukulala ana uchungu wa kuzaa na umempeleka hosi doctors wanasema oparation ndio suluhisho. halafu agent wa nyumba yako uliwa promise utawapatia this monday pesa zao na sai wamekupigia simu tayari wako home kwako la sivyo wanakufungia keja. je uta solve gani muhimu zaidi?
Posted on: Mon, 09 Sep 2013 08:51:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015