Ahadi ya Historia fupi inaanza hivi; KUAMKA KWA MATAIFA YOTE! - TopicsExpress



          

Ahadi ya Historia fupi inaanza hivi; KUAMKA KWA MATAIFA YOTE! ;;;;fanyeni haraka mje enyi mataifa yote, wa pande zote, jikusanyeni pamoja...Mataifa na wajihimize wakapande juu katika bonde la Yehoshafati; maana huko ndiko nitakakoketi niwahukumu mataifa yote." Yoeli 3:11-12. KILA siku asubuhi huko ktk jengo la Umoja wa Mataifa, New York, maadhimisho yasiyokuwa ya kawaida hufanyika. Bendela za mataifa yaliyo wajumbe hupandishwa milingotini kwa mfuatano, moja kwa moja. Huko hupepea ktk upepo, au huinama wakati wa unyevu-nyevu, au mvua. ** Msitari mrefu huo wa bendera zenye rangi mbalimbali hueleza jambo fulani muhimu, hutangaza utimizo wa unabii uliotabiriwa karibu miaka elfu iliopita. Wakati umoja wa Mataifa ulipoanzishwa, tarehe 24, oktoba, 1945, pamoja na katibu na mkata ambao kwanza ulitiwa sahihi huko San Francisco june 26, ulikuwa na wajumbe 51 tu. Ktk muda wa miaka kumi na sita hesabu ya wajumbe iliongezeka maradufu, yaani ktk mwaka 1968 wajumbe walikuwa 126. ...Inaendelea ufupi wa historia hii. ila tambua ninayesimlia nilikuwa bado kuzaliwa ila utamu wa kuwa na maarifa ya kujua histori, hapa kunakitu nilijifunza na nisomo zuri sana sitaki kufaidi mwenyewe uhondo huu.
Posted on: Sat, 03 Aug 2013 18:02:06 +0000

Trending Topics



" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> BASSHENGE is still looking for more body painters as we will have
ප්‍රශ්න නොපෙනෙන
Estelle Bjoring said: Its not about Ray. Its about the
an evergreen tree,
PLEASES HELP LUCKY FIND A NEW HOME--CAUTION GRAPIC PHOTOS!

Recently Viewed Topics




© 2015