Baba Levo says " "ZAMANI nilikuwa nikiskia mtu analalamika kaibiwa - TopicsExpress



          

Baba Levo says " "ZAMANI nilikuwa nikiskia mtu analalamika kaibiwa wimbo au kaibiwa njia. Nilikuwa naona ni kama maigizo na mtu kutafuta kick ya kupandia .ila leo nasema wazi DAIMOND PLATNUM amechukua korasi ya wimbo wangu niliopanga kufanyanae unaitwa SWEATY SWEATY na kuiimba kwenye wimbo wake mpya NO 1 .. kanizungusha sana kumbe alikuwa na lengo lake" This is the fifth time i hear this song stealing comments about Diamond. From Mbagala; Kesho; nataka kulewa. Is there some truth in it? waswahili walisema " lisemwalo lipo...
Posted on: Sat, 07 Sep 2013 06:36:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015