DA! YAANI NI VULULU VULULU, TIMUA TIMUA KWA KWENDA MBELE. - TopicsExpress



          

DA! YAANI NI VULULU VULULU, TIMUA TIMUA KWA KWENDA MBELE. Wakati Sakata La Rage Kule Msimbazi Halijakaa Sawa,CHADEMA Nako Kimenuka. Zito Na Wenzake Wavuliwa Madaraka Yote Na Wengine Wakifuata Nyayo Kwa Kujiuzuru. Wakati Tunatafakari Haya, Mara Kwenye Burudani Nako Kimejipa, MABESTE NA VANESSA MDEE Watimuliwa BHITS Na Kuambiwa Hawana Ruhusu Kuzitumia Nyimbo Zao Kwani Ni Mali Ya Hiyo Label (BHITS). TANESCO Nako Hakujakaa Sawa Huku Rais Wa Zanzibar Akisema Kuwa Wananchi Wasioiweza Bei Mpya Ya Umeme Watumie Vibatara. Heri Ya Waziri Muongo Ambaye Hivi Karibuni Kafanyiwa Mambi Na Viongozi Wa Dini. DIAMOND Naye Kadhalilisha Wanamuziki Na Wasanii Wa Tanzania Kwa Kuvaa Vibaya Nchini Nigeria Alipohudhuria Harusi Ya PETER Wa P SQUARE. Duu! Tanzania Hii! Sijui Ni Laana Au......
Posted on: Sat, 23 Nov 2013 07:44:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015