DUUUUH! HII KAL! ucjarib Jamaa 1 alienda kuiba ndege kiwandan, - TopicsExpress



          

DUUUUH! HII KAL! ucjarib Jamaa 1 alienda kuiba ndege kiwandan, but alikua hajui how to drive! So, alipofika akakuta ndeg 1 ipo nje ya fenc jamaa hakulemba akapiga moyo konde akaingia ndan ya ndge na akakaa kwny cti, lkn hajui afany nn ili ndge itoke. Alipoangaza macho huku nakule akakiona kitab kimewekwa juu ya dashoard , akakichukua na kilikua na kurasa 4 tu! Akaanza kukisoma. Kiliandikwa hiv; page1: Ukitaka kuwasha ndege bonyeza kitufe chekundu.akabonyeza ikawaka Page 2; Ukitaka ndege ipae bnyza kitufe cha bluu. Akabnyz ikapaa Page 3: Ukitaka kuongeza speed bonyeza kitufe cha njano.akabnyz spd ikaongzk Page 4: Ukitaka kushusha ndege tafadhali njoo ofisin kwetu kwa maelezo zaid. Je, ungekua ww ungfanyje na uko angan na ndege una vitufe vitatu cha kushushia hakipo?
Posted on: Thu, 21 Nov 2013 08:04:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015