HAKUNA KITU HUUMA KAMA??? 1.Baada ya kufanya kazi siku - TopicsExpress



          

HAKUNA KITU HUUMA KAMA??? 1.Baada ya kufanya kazi siku 30, unafukuzwa kazi bila mshahara. 2.Unadownload kitu from the internet, ikifika 99% inajiandika downloading failed. 3. Kuingia kwa exam room na mwakenya, halafu saa ya kuitumia unashindwa kuelewa your own handwriting. 4. Unanunua simu leo 30k, alafu kesho zinawekwa kwa promotion 10k. 5. Kupeleka dem makejani, alafu unashindwa kuamsha. 6. Kufanya kazi kwa company fulani for more than 10yrs, na haujawai pandishwa cheo ama kuongezewa mshahara. 7. Gari yako inatumia tyme mingi kwa garage, kuliko barabarani. 8.Kuingia exam room, alafu unasahau jina yako ya kwanza. 9. kusahau uweke supa glue kwa macho ukidhani ni dawa ya macho. 10. Hakuna kitu huuma kama kukosa ku like hii status ya Haso ;-)
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 00:07:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015