HARUFU YA VITA Kukiwa bado kunaendelea vita ya maneno kati ya - TopicsExpress



          

HARUFU YA VITA Kukiwa bado kunaendelea vita ya maneno kati ya Rwanda na Tanzania mapya yaibuka Wabunge wa Rwanda ndani ya bunge la afrika mashariki(EALA) hawataki vikao vifanyike Tanzania tena kwenye ukumbi ambao umejengwa makao makuu ya jumuiya Arusha Pia Rwanda imetangaza kuacha kutumia bandari ya Dar es salaam kupoke na kusafirisha mizigo yake Rwanda ktk mtandao wake wa Weak Leaks imetangaza kuwa mke wa Kikwete ana undugu na kiongozi wa zamani wa Rwanda Juvenal Habyarimana ambaye aliuwawa kwenye ajali ya ndege wakati akitokea nchin Tz 1993 by karl
Posted on: Fri, 23 Aug 2013 17:00:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015