#Habari #Zilizotufikia #Hivi #Punde. Watu kadhaa waliokuwa - TopicsExpress



          

#Habari #Zilizotufikia #Hivi #Punde. Watu kadhaa waliokuwa wamepanda Basi la Mbazi linalo Fanya Safari zake Dar Arusha Wamejeruhiwa Vibaya Baada ya Basi hilo waliokuwa wakisafiria lilipokuwa likijaribu Kulipita Basi lililokuwa Mbele yake na hivyo kumshinda nguvu Dreva na Kupinduka Maeneo ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Akizungumza Kwanjia ya simu shuhuda wa ajali hiyo amesema kuwa kilichofanya hadi kupinduka kwa Basi hilo ilikuwa Mwendo kasi wakati akijaribu kulipita Basi lililokuwa lipo mbele yake na hivyo kupinduka mara Tatu,nahivyo gari hiyo ikawa imeumia sana.
Posted on: Thu, 13 Nov 2014 11:04:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015