Hawa watoto nagging mmezaliwa juzi i.e (1990s) kama previous day - TopicsExpress



          

Hawa watoto nagging mmezaliwa juzi i.e (1990s) kama previous day sapa ulikuwa umepika ugali na ikabaki,n the following day lunchtym unataka kupika ugali tena,ile ya jana huwa haitupwi instead unaifanyia recycling. Najua mnaulizana "hwz d@ pwosible galfie,admin is rily outta his mind" skiza procedure hapa mburukenge za laptop nyinyi: unakatakata eyo ugali in2 small pieces then unaweka kwa maji ikishaboil unaogezea unga then unakoroga hadi inaiva.Sa unaeza serve na nyama ama madondo according to ur husbands ama mpango wa kandos pocket koz vifaraga hizi mnajipenda saana hata chumvi kwa eyo nyumba mpaka mnunuliwe.Nw mwenye ana masikio na asikie otherwaiz ukiolewa utakuwa unashebeshiwa daily na bwanako ju ya kutupa chakula.Machozi ya ruto nyinyi.semeni thnx #Admin_Alfa
Posted on: Thu, 03 Oct 2013 11:31:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015