Hebu nipe wazo; wewe ni mpiga picha umebahatika kuokota milioni - TopicsExpress



          

Hebu nipe wazo; wewe ni mpiga picha umebahatika kuokota milioni 200 baada ya majambazi kukimbizwa na polisi na kuzidondosha.ukakimbilia kijijini kwenu na kuwapa wazazi wako milioni 5 tu,zingine ukatafuta sehemu ili uzifiche.Kwa bahati ukaona mti mkubwa na kuzifukia chini,ili usisahau ukaamua kupiga picha mti,ukaenda mjini kusafisha picha,uliposafisha ile picha unaona juu ya mti kuna mtu anatabasamu...UNGEFANYAJE USICHEKE NIPE JIBU.
Posted on: Wed, 11 Sep 2013 06:05:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015