Heshima PESA ...wewe mwanaume hangaika tu kuvaa suti na tie, - TopicsExpress



          

Heshima PESA ...wewe mwanaume hangaika tu kuvaa suti na tie, briefcase kubwaaaaaa,,jeans za kimodel,shart na tshirt, kesha salon kufanya scrub ya uso na masaji, weav na mitindo ya kunyoa, gym kila cku kutafuta six packs na kupanua kifua.., mdada recwig, viwalo vya kuwaazima,hips, mguu,na makalio ya kichina...vyote hivo km huna ubunifu na bidii ya kujitafutia Pesa yako halali ni kazi bure.....utadharaulika tuuuuuu
Posted on: Tue, 15 Oct 2013 10:05:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015