Hi admin mm ni allan kutoka meru, na kuna kitu imenisumbua miaka 3 - TopicsExpress



          

Hi admin mm ni allan kutoka meru, na kuna kitu imenisumbua miaka 3 sasa. nilikua na dame anaitwa angie, tulipendana sana lakini wazazi wake walitaka aolewe na jamaa fulani family friend wao. so ilibidi tuachane ata kaa tulipendana. SAD enough afta mwaka kuisha nkasikia ati shez no more akijaribu kutoa ball ya uo jamaa. kutoka io day mm umuona kila day kwa ndoto n she juz cant get off akili yangu. wat shud i do? plz advice.
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 18:33:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015