Hi admin, naitwa Benja kutoka Hurlighum. On sato nilienda kwa club - TopicsExpress



          

Hi admin, naitwa Benja kutoka Hurlighum. On sato nilienda kwa club na nikachota madem wawili nikarudi nao kejani ndio nikule vitu. Mazee nimekula kila mmoja shot tatu tatu na nikadoz. Heee, niliamka kesho yake kitu saa kumi majioni nimelala kwa kagunia kwa hall. Nikicheki ni keja yangu iko empty yaani nimesafishwa kila kitu mazee. I swear saa hii sina any hata unga mchele na sukari walibeba hata mafuta ya taa ya mbao wakabeba haki nikatandikiwa kagunia na nikafunikiwa curtain ya mlango. Pliz wasee naomba mnisaidie mnichangie nibuy vitu na i promise sitawahi rudia tena. Nataka mnichangie kitu kama 1m ndio niweze pia kuweka biashara. Thanks in advance
Posted on: Mon, 22 Jul 2013 08:39:13 +0000

Trending Topics



52">My name is Waqar Khurshid and im with multiple disability. I have
Its been more than six months since Ive had a night of sleep where
Dices que estas arrepentida del tierno beso que sin querer me

Recently Viewed Topics




© 2015