Hi manager, Natamani leo niongee kwa ufupi sana kwanza pole na - TopicsExpress



          

Hi manager, Natamani leo niongee kwa ufupi sana kwanza pole na majukumu,pili asante kwa imani yako uloionyesha ya kujiunga perfect app na kualika na watu wengine Kwa taarifa zilizonifikia kutoka kwenye webinar(kikao) cha tarehe 26th September ni kuwa muda wa kualika watu hautoishia tareh 1st October kama ilivyokuwa imeandikwa kwasasa wamesema hakuna deadline kama ninavyomnukuu.Rod ” The Perfect App registrations will not expire, at least not for now. There is currently no deadline set nor has there been one discussed. The Perfect App earnings will be available to everyone who downloads and uses the App until further notice, not just pre-launch members. Per Dan - Qualifying signups do not end on October 1 and more details will be presented at Gee on TV Special Edition Oct 1. kwa hiyo kwasasa tuna uhuru wa kualika watu kwa wingi tuwezavyo ila bado haijatoka rasmi mpaka lini walichosema ni kwamba haitoisha kwasasa..ila nikuombe kitu kimoja kuna muda nakuwa busy sana kuna webinar zinazofanyika kwa kipindi flani ambacho ni kama kikao na sisi wanachama tunawiwa kuhuzuria kinarushwaga live kutoka Las Vegas Marekani na Director mahusiano wetu Gee,maelezo yanatumwaga kwenye P.I NEWS(news.perfectinter.net/) Ilioko kwenye PROFILE,mara nyingi inaanzaga saa moja jioni ambako kwa Tanzania inakuwa ni saa nane za usiku,kwakulijua hilo wanarekordigi hizo webinar(vikao) then tunapewa muda wa kusikiliza ukitaka kuangalia webinar zilizopita ingia hapa wazzub.perfectinter.net/blogs/recorded_general_webinars Pia maelezo mengine utayapata kupitia T.v yetu kuangalia Episode zilizopita bila kusahau iyo special ya tarehe 1st October ingia hapa tv.perfectinter.net/ MALIPO: Ninapenda kukufahamisha tu kwamba mambo yamesha kuwa mambo Tarehe 1st October tunaanza rasmi kutumia perfect appl kwenye simu na tarehe 15th November ndo mwezi wa kwanza wa kulipwa kuanzia hapo kila tarehe 15th ya kila mwezi tutaendelea kulipwa,Wengi watajiuliza kwanini 15th November mwezi wa kumi unashida gani? Jibu ni rahisi kama nilivyokwisha tangulia kusema hii sio pesa tutayoipata buree hii sio freemason,ni lazima tufanye kazi mwezi mmoja utaowezesha kampuni kupata faida na then ndo tugaiwe mwezi unaofuata,kazi gani?ndo hiyo ya kufanya tulozoea kufanya tukiwa internet ila kupitia appl utayo idownload…kwakifupi uwe active kwa kipindi flani tutachoitajika kukaa kwa mwezi.. Kuna watu wamejisajili mara mbili perfect appl na perfect internet!akaunti yako itafutwa hakikisha password na email adress ulotumia kujiungia perfect apll ndo unaitumia KU LOGIN Kwenye kibox kilichoko baada ya Languege,Registration icho cha tatu kilichoandikwa log in ndo ukitumie,iwapo umesahau password bonyeza pale palipo andikwa I forgot password utapewa mpya kuliko kujiregista upya. ujachelewa wewe ambaye bado kujiunga jiunge sasa, kwa kubonyeza link hiyo chini. perfectapp.biz/?refid=ee8063277c
Posted on: Sun, 29 Sep 2013 09:36:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015