Imagin boy anaenda anaomba snapback, geeks, tshirt kali, - TopicsExpress



          

Imagin boy anaenda anaomba snapback, geeks, tshirt kali, alafu anapiga pic ya fb, anaiphotoshop vizuri anajua hii leo nikipost itapata malikes na macoment kama zote, boy anangoja majioni ndo apost pic ile tym mafans wengi wako online, anajiambia hapa leo nitachoka juu ya kuambiwa u are hot. After 4 hours, pic ikona like moja na comments mbili za maboy kama *izo geeks ziko sete*,.., meaning mwenye ako kwa pic anakaa mwewe.... Boy anaenda anatoa eo pic na kueka pic ya mavado na kujiambia # mwanaume ni mateso.... ©™pizarro_Tfc™©
Posted on: Thu, 24 Oct 2013 06:52:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015