Juzi juzi nilikuwa Dodoma kikazi, Mama mmoja alifikia Guest house - TopicsExpress



          

Juzi juzi nilikuwa Dodoma kikazi, Mama mmoja alifikia Guest house tulipo fikia sisi. asubuhi wakati wa chai, tukaona analetewa msichana mdogo tulihisi ni house girl wa kurudi nae Dar, Mama akaletwewa mgawo wake wa breakfast kwa sababu amelala pale peke yake. Huku anampa mtoto yule mawaidha akampa the girl kikombe chake cha chai, Mamayeye akala matunda,mkate na Juice,Huyu mtoto moja kwa moja anaenda kwenye Matatizo
Posted on: Wed, 04 Sep 2013 06:36:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015