KASTORY sasa..Jamaa anakuja kwa nyumba kuniomba mawaidha ati - TopicsExpress



          

KASTORY sasa..Jamaa anakuja kwa nyumba kuniomba mawaidha ati vyenye atamaliza mende kwake na ameoa...Mimi si mchoyo wa mawaidha nikamwambia aende anunue mandondo mingi,avocado mbili,ka-ugali kiasi,kitunguu mbichi kisha aviweke kwa moto na akule kisha ajifunike kwa blanketi vizuri na asubuhi hatawapata.Jamaa akakula na kulala.Mkewe alikuwa anasikia tu...ndwi,pweee,ndwiiii...akaenda kulala kwa jirani.Asubuhi alipata mende wote wamekufa..Pia mi niliogopa hiyo dawa bana ya mende...Jaribuni hiyo...Nyt
Posted on: Tue, 20 Aug 2013 17:18:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015