KWAHERI JOHANNESBURG! Tumemaliza mafunzo magumu ya siku tano - TopicsExpress



          

KWAHERI JOHANNESBURG! Tumemaliza mafunzo magumu ya siku tano juu ya masuala muhimu ya kidemokrasia na hasa uchaguzi. Shukrani kubwa ziende kwa ALN, FNF, IDEA, IFES, UNDP na UN kwa kusimamia mafunzo haya. Saa 5 usiku huu nitaondoka hapa Jberg kuelekea Uholanzi na kisha DENMARK. Denmark nitakuwepo kwa siku 10 kushuhudia uchaguzi wa wa serikali za mitaa nchini humo. Nawatakia nyote kila la heri na kila jema mfanyalo limebarikiwa.
Posted on: Wed, 13 Nov 2013 15:09:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015