Kama una anuani ya Mwl. Nyerere, Naomba mtumie barua yake - TopicsExpress



          

Kama una anuani ya Mwl. Nyerere, Naomba mtumie barua yake hii: Dear Mwl. Nyerere, Tangu uondoke hali ya hapa Tanzania imebadilika, siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya,ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya,Tanesco ni ya Lowassa, Bunge limekuwa jukwaa la mipasho,Rais wetu siku hizi anaishi Airport. anakula kwa mlija. Mwl huku historia imebadilika kuwa Tanzania imetokana na visiwa vya pemba, unguja na zimbabwe. Mwl huku hali si shwari kwani wanafunzi wahitimu std 7 huku hajui kusoma &kuandika na anafaulu mtihan! Hivi tufanyeje Mwalimu ili Kuinusuru Nchi Yetu Kama Inawezekana Njoo alafu utarudi tena.
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 04:31:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015