Karibu katika Hatua tatu ijumaa ya leo June 28. Katika Hatua ya - TopicsExpress



          

Karibu katika Hatua tatu ijumaa ya leo June 28. Katika Hatua ya kwanza Ushauri wa bure: Kuwa na marafiki ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku..Lakini je Unajua kuwa marafiki wanaweza kuwa kikwazo katika mafanikio yako pale tu unapojisahau na kuwaendekeza badala ya kusimamia kazi ama biashara zako? Changia kwa kutoa ushauri wa bure! Pia sikiliza live hapa tunein/radio/Times-fm-1005-s153321/ #NyumbaniNiNyumbani.
Posted on: Fri, 28 Jun 2013 06:29:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015