﹑﹑....Kuna Mademu zamani walikuwaga Marafiki zangu sana humu - TopicsExpress



          

﹑﹑....Kuna Mademu zamani walikuwaga Marafiki zangu sana humu Facebook/Uraiani/Nilikuwa nikiingia humu lazima tuchat tukikutana uraiani mfano batani lazima tupige stori tufurahi ﹑﹑....Ila sasa tangia waonekane kwenye Video za wasanii wakubwa wanajiita video queen wameanza kujifanya wana pozi/dharau/nyodo/ wanajiona wajanja kumbe mm nawaona Mandezi Mangedere pori ww unaleta pozi kisa umeonekana kwenye video ya mtu hata nyimbo sio yako hata kuimba hujui usikute hata hujalipwa na umegongwa ili uuze sura kwenye video ﹑﹑...Wengine tangu wajuane na mastar Tangu waanze kugongwa na mastar Basi wanajiona matawi ya juu balaa wameanza dharau/pozi/nyodo/ Huo si ungese huyo star usikute ww ndo ulijitongozesha na unajua kabisa ana mademu kibao hapa town ila unataka tu akugonge ili na ww uwe maarufu utuonyeshe mapicha yenu humu wakati watu wanakuona kenge tu kwani huyo star haendi chooni kwani hatakufa hayo ni mambo ya kindezi kujifanya unaleta dharau kisa unagongwa na star tena usikute hajawahi kupa hata mia unauza sura tu
Posted on: Tue, 20 Aug 2013 08:12:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015