`Kuna Watu Wengine Wanaish Kwa Shida Kweli Kwenye Hiki Kijiji Cha - TopicsExpress



          

`Kuna Watu Wengine Wanaish Kwa Shida Kweli Kwenye Hiki Kijiji Cha Facebuku` .. Mtu Akiandika Status Tu Akahisi Amesemwa YeYe... [Anatia block] ... Akimtumia Mtu Messag Inbox`Asipojibu Tu[Anatia Block] ... Akiupdate Status` Halafu Watu Wakakoment Tofaut Na anavyotaka[Anatia Block] ... Akihisi Tu Jamaa Fulan Anamchukua DeMu wake[Anatia Block] ... Akiomba Namba Tu Inbox`Halafu Akakataliwa[Anatia Block] .. Akitongoza DeMu Huko Inbox Halafu Akatoswa[Anatia Block] ... Hata Hii Status Kwa Kua Atahisi Nimemsema YeYe [Atatia Block]... ... ... Doooh.. Kwa Style Hiyo Utajikuta Umeblock Watu Wote!! ``` Ni Shidaaaaaaaa```
Posted on: Wed, 19 Jun 2013 17:16:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015