Kuna uwezekano mkubwa Zaidi kwa Wayne Rooney kubaki United, hii ni - TopicsExpress



          

Kuna uwezekano mkubwa Zaidi kwa Wayne Rooney kubaki United, hii ni baada ya kuripotiwa kwamba wiki inayokuja watafanya kikao cha pamoja na kocha David Moyes. The Guardian wameeleza kwamba mazungumzo yao yatalenga kuboresha mkataba si kuondoka. Wakati huo huo kuna fununu za kumhusisha Rooney na biashara ya kumrejesha nyumbani Christiano Ronaldo juu ya kubadilishana. Rooney ni mchezaji mkubwa na bora kwa kikosi chetu, kama ataamua kubaki najua fans watamsamehe na kama ataondoka basi tutaendelea kumheshimu na kumpenda kama mmoja wa mashujaa wetu. KT
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 08:48:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015