MASANJA MKANDAMIZAJI Nakumbuka ktk wimbo wako fulani wa dini - TopicsExpress



          

MASANJA MKANDAMIZAJI Nakumbuka ktk wimbo wako fulani wa dini ulijiita/unajiita MTARAIWA MCHUNGAJI,yaani ulickika ukisema-(nanukuu) "ukipenda niite mtarajiwa mchungaji"!!!Sasa leo nabaki nabaki najiuliza maswali lakn bila majibu kupata; 1/Ni mchungaji gani mtarajiwa mwenye karama halafu anashukiwa na vyombo vya habari kuwa ni muuzaji ama mbebaji madawa ya kulevya almaarufu UNGA aka SEMBE??bado najiuliza 2/Ni mtarajiwa mchungaji gani ambaye ameorodheshewa ghorofa na mali kibao bila kujua wapi alikozitoa? 3/Kama ni kwa ajili ya COMEDI,kwa nn(mbona) wenzake hawatoki na kuwa na mali mpaka kuorodheshwa ktk media hususani MAGAZETI??Au ndo una2mia fulsa ya uchungaji ili usikakuliwe upitapo na madawa aka unga/sembe?? NIJIBU KM KWELI WEWE NI MASANJA MKANDAMIZAJI mwenye nyingi nasaba,ucyejihusisha na madawa kwa kupitia safu hii ktk STATUS kwenye timeline yako!!
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 07:56:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015