Madame,ati maboy wa Kenya hawakuwagi romantic?! I bet hamjui - TopicsExpress



          

Madame,ati maboy wa Kenya hawakuwagi romantic?! I bet hamjui meaning ya kuwa romantic basi.. Nkikubuyia popcorns za kinde alafu tuwalk home ukikulaga mojamoja na me nakuchapia stori za vle ulintingishia poa last nyt,iyo c kuwa romantic ata kama msoto ndo imefanya tuwalk? Alternatively,n kikubeba nikuvukishe mtaro ya sewage nkikupeleka kwa base ya supu,iyosi romance? Nkikumpesa fare ya kukam kwangu ndo nikute ikus na naongezea mbaula ya kubuy chips mwitu on your way,iyo c ku extra romantic? Mtapunguza expectations ama mhamie Mexico konokono izi.
Posted on: Mon, 05 Aug 2013 01:27:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015