Mwalimu katoa test ya imla, masharti ni kwamba usifute fute na - TopicsExpress



          

Mwalimu katoa test ya imla, masharti ni kwamba usifute fute na kubadili majibu baada ya kujaza. Swali 1. Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umeshalipiwa utapenda kula. (1% mark) Wanaume walijaza majibu ni Wali, Ugali, na Mihogo. Wadada walijibu Burger,Egg Chop na pizza. Swali 2. Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu. (99% marks) Haah haah haah acha wadada wahangaike kufuta majibu ya mwanzo!
Posted on: Tue, 17 Sep 2013 13:19:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015