Na Twalib Maundu sisi mashabiki wa manchester united bana jana - TopicsExpress



          

Na Twalib Maundu sisi mashabiki wa manchester united bana jana tumeshinda sijasikia matusi wala lawama kwa kocha kutompanga shinji kagawa ila tungefungwa hapo tungeanza matusi kwa kocha wetu ooo ampangi kagawa, mara kagawa hapewi nafasi,, Tukiwa tunashinda nawaomba muwe mnaendelea na matusi yenu hata tukishinda,, kocha ana akili yake jamani ukiangalia vizuri dogo januzaj anacheza vizuri kuliko kagawa, mi binafsi nitasimama upande wa moyes mpaka mwisho. =/ D.P /=
Posted on: Sun, 06 Oct 2013 10:56:17 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015